AJALI YA LORI YAMUUA MAUNDA ZORRO

Msanii wa Bongofleva, Maunda Zorro amefariki dunia kwa ajali ya gari usiku wa kuamkia leo, April 14, 2022. Kaka wa marehemu ambaye pia ni msanii wa Bongofleva, Banana Zorro, akizungumza na chombo kimoja cha habari, amethibitisha taarifa hizo na kusema hadi jana jioni alikuwa pamoja na Maunda kwenye msiba wa rafiki yao lakini baadaye akapata